CV Template Pack – Kiingereza & Kiswahili | Templates za Word
Inauzwa na Salum
Muuzaji aliyethibitishwa Muuzaji aliyethibitishwaDuka Digitali imemkagua muuzaji huyu: duka halisi, mawasiliano halisi na mmiliki aliyethibitishwa.
TZS 1,500
Malipo ya mara moja · Pakua ndani ya siku 3 baada ya kununua
- Pakua papo hapo baada ya malipo
- Huhitaji akaunti wala barua pepe
- Pata kiungo chako tena kwa namba ya oda
Maelezo
Tengeneza CV yako kwa urahisi na kwa muonekano wa kitaalamu kwa kutumia CV Template Pack hii iliyo tayari kutumika.
Inajumuisha templates za CV kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili, zote zikiwa katika Microsoft Word na rahisi kuhariri.
Inafaa kwa:
* Wanaotafuta kazi
* Wahitimu
* Wanafunzi
* Wataalamu wenye uzoefu
* Mtu yeyote anayehitaji CV yenye muonekano mzuri na wa kitaalamu
Unachopata:
* CV Template ya Kiingereza
* CV Template ya Kiswahili
* Microsoft Word (.docx)
* Muundo safi na wa kitaalamu
* Rahisi kuhariri na kuweka taarifa zako
Pakua, fungua kwenye Microsoft Word, badilisha taarifa zilizopo kwa taarifa zako, na CV yako iko tayari kutumika.
Taarifa
- Faili
- ZIP · 17 KB
- Uwasilishaji
- Papo hapo, baada ya malipo
- Muda wa kupakua
- siku 3 baada ya malipo
- Kategoria
- CV na Ajira
Maoni ya wateja
Kutoka kwa wanunuzi waliothibitishwa tu.Bado hakuna maoniUmenunua bidhaa hii? Kuwa wa kwanza kuwaambia wengine maoni yako.
Bidhaa zinazofanana
Ona zote za CV na Ajira →
CV na Ajira
Jinsi Ya Kupita Usajili Wa Kazi
na Salum
Muuzaji aliyethibitishwa Muuzaji aliyethibitishwaDuka Digitali imemkagua muuzaji huyu: duka halisi, mawasiliano halisi na mmiliki aliyethibitishwa.
TZS 1,500
PDF · 7.0 MB
Vitabu Pepe
Bookings Kila Mwezi: Sehemu 12 za Kupata Wateja wa Safari
na Uniforumtz
Muuzaji aliyethibitishwa (dhahabu) Muuzaji aliyethibitishwa (dhahabu)Imethibitishwa na Duka Digitali, ikiwa na rekodi nzuri: wanunuzi wengi walioridhika, maoni mazuri na marejesho machache.
ProMuuzaji wa ProMuuzaji huyu yuko kwenye mpango wetu wa juu: duka lililokomaa linalouza hapa kila siku.
TZS 10,000 TZS 9,000
PDF · 5.0 MB
Vitabu Pepe
Utajiri wa Safari: Jinsi ya Kuanzisha Biashara ya Utalii Tanzania
na Uniforumtz
Muuzaji aliyethibitishwa (dhahabu) Muuzaji aliyethibitishwa (dhahabu)Imethibitishwa na Duka Digitali, ikiwa na rekodi nzuri: wanunuzi wengi walioridhika, maoni mazuri na marejesho machache.
ProMuuzaji wa ProMuuzaji huyu yuko kwenye mpango wetu wa juu: duka lililokomaa linalouza hapa kila siku.
TZS 6,000 TZS 5,000
PDF · 4.1 MB
Mipango ya Biashara
Kodi za Biashara: Jina au Kampuni?
na Salum
Muuzaji aliyethibitishwa Muuzaji aliyethibitishwaDuka Digitali imemkagua muuzaji huyu: duka halisi, mawasiliano halisi na mmiliki aliyethibitishwa.
TZS 2,000
PDF · 595 KB
Kilimo na Ufugaji
Ufugaji Wa Kuku Kwa Faida
na Uniforumtz
Muuzaji aliyethibitishwa (dhahabu) Muuzaji aliyethibitishwa (dhahabu)Imethibitishwa na Duka Digitali, ikiwa na rekodi nzuri: wanunuzi wengi walioridhika, maoni mazuri na marejesho machache.
ProMuuzaji wa ProMuuzaji huyu yuko kwenye mpango wetu wa juu: duka lililokomaa linalouza hapa kila siku.
TZS 1,500
PNG · 397 KB
Mipango ya Biashara
Jinsi Ya Kuongeza Mauzo Kupitia Mitandao Ya Kijamii
na Uniforumtz
Muuzaji aliyethibitishwa (dhahabu) Muuzaji aliyethibitishwa (dhahabu)Imethibitishwa na Duka Digitali, ikiwa na rekodi nzuri: wanunuzi wengi walioridhika, maoni mazuri na marejesho machache.
ProMuuzaji wa ProMuuzaji huyu yuko kwenye mpango wetu wa juu: duka lililokomaa linalouza hapa kila siku.
TZS 1,000
PDF · 7.3 MB